Wednesday, May 23, 2012
TAARIFA YA KUTUPILIWA MBALI KWA KESI DHIDI YA MBUNGE LETICIA NYERERE(CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea nakala ya hukumu ya kesi mbili zilizofunguliwa Marekani dhidi ya mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere (CHADEMA) zenye kuonyesha mahakama imetupilia mbali kesi hizo.
Kwa mujibu wa mbunge wa Viti Maalum Leticia Nyerere waliofungua kesi hiyo waliingia mitini baada ya kubainika kwa tuhuma kwamba kesi hiyo ilikuwa ni ya kutengenezwa kwa malengo ya kumchafua hali ambayo ingeweza kuwatia hatiani wahusika kwa kuwasilisha madai ya uongo.
Pamoja na kutupiliwa mbali kwa kesi hizo mamlaka husika za Marekani zinaendelea na uchunguzi wa kumsaka aliyetoa madai kwamba Mbunge Leticia Nyerere amekamatwa na kutaka wananchi wamchangie fedha kwenye akaunti iliyotajwa katika ujumbe uliosambazwa kwa njia ya mtandao.
Hukumu hii inadhihirisha tahadhari niliyoitoa kwa wanahabari tarehe 17 Mei 2012 ya kuwataka kusubiri maelezo rasmi kutoka kwa Leticia Nyerere na yatokanayo mahakamani kutokana na tuhuma zilizosambazwa kwenye mitandao kuwa na mwelekeo wa siasa chafu kukwaza jitahada zake na viongozi wa CHADEMA kutokana na kazi walizozifanya za kuwezesha watanzania waishio Marekani kuunga mkono mabadiliko.
Chama kinaendelea kufuatilia kwa karibu suala hili na taarifa zaidi zitatolewa kwa umma katika hatua za baadaye kadiri iwezekanavyo.
Kurugenzi ya Habari na Uenezi inatumia fursa hii kuwakumbusha watanzania wanaoishi nchini Marekani kuhudhuria kwa wingi katika Mkutano wa CHADEMA utakaofanyika Maryland tarehe 27 Mei 2012 na kuwasiliana na Leticia Nyerere kupitia leticianyerere@rocketmail.com kwa maelezo zaidi.
Imetolewa tarehe 23 Mei 2012 na:
John Mnyika (Mb)
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi

Monday, May 21, 2012
UBINGWA WA CHELSEA
Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron akishangilia goli huku akiwa na Rais wa Marekani Barack Obama, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel,Rais wa Umoja wa Ulaya José Manuel Barroso na wajumbe wengine wa mkutano wa G8 uliofanyika Camp David,Marekani hapa ilikuwa ni May 19 mwaka huu walipokuwa wakiangalia penati zilizopigwa wakati wa mechi ya klabu bingwa ya Ulaya 2012 kati Chelsea (Uingereza) na Bayern Munich (Ujerumani) ambapo Chelsea waliibuka mabingwa.
(Picha na Mpiga Picha wa White House Pete Souza)
Thursday, May 17, 2012
TAMKO LA BAVICHA KUHUSU KAULI YA MHE JOHN SHIBUDA
TAMKO LA BAVICHA KUHUSIANA NA KAULI ILIYOTOLEWA NA MHE.JOHN SHIBUDA MBUNGE WA MASWA MASHARIKI.
BAVICHA imepokea kwa mshituko mkubwa kauli ya ndugu Shibuda kuwa yeye atagombea Urais na Meneja wake wa Kampeni atakuwa Mwenyekiti wa CCM ndugu Jakaya Kikwete, na alitoa kauli hiyo kwenye kikao cha NEC ya CCM.
MAMBO YAFUATAYO YEMETUSHTUA;
1. Katoa Kauli hiyo kwenye kikao cha NEC ya CCM
2.Meneja wa kampeni zake amemtangaza kuwa ni Mwenyekiti wa CCM taifa Jakaya Kikwete
Amesema kuwa hakuna chama kingine chenye uwezo wa kuiongoza nchi kwa sasa
Alitoa tamko hilo kwa niaba ya APRM .
Mambo hayo manne ndio yametushtua na kutufedhehesha sana sisi vijana wa CHADEMA na ndio maana tumelazimika kutoa kauli kuhusiana na suala hili , na kauli yetu ni kama ifuatavyo;
1. Kamwe BAVICHA hatutaruhusu mgombea Urais wa CHADEMA meneja wake wa kampeni awe ni Mwenyekiti wa CCM hata siku moja kwani tunao watu wa kutosha na wenye uwezo wa kutosha kuifanya kazi hiyo na hatuhitaji msaada huo .
2. Kamwe hatutaruhusu mgombea urais wa CHADEMA awe anatangaza nia kwenye vikiao vya CCM kwani hawana mamlaka ya kumteua mgombea wa CHADEMA na kama Shibuda alikuwa halijui hilo anapaswa kulifahamu kuanzia sasa kuwa vijana wa CHADEMA hatuchaguliwi mgombea na NEC ya CCM kwani CHADEMA kuna vikao na taratibu zetu za kuteua wagombea.
3. Kusema kuwa hakuna chama kingine chenye uwezo wa kuongoza nchi ni kutudhalilisha sisi vijana wa CHADEMA na watanzania wote ambao leo wanaiona CHADEMA kama tumaini pekee la kuwakomboa, kauli hii tunaamini kama vijana wa CHADEMA kuwa mamlaka za nidhamu hazitakaa kimya na kuiachia kauli ya namna hii iachwe bila kutakiwa maelezo ya kina , tutaitisha kikao cha BARAZA na tutaijadili kauli hii na kuwasilisha mapendekezo yetu kwenye vikao halali vya chama .
4. Tunapenda kumwambia kuwa kama anaona kuwa yeye haendani na utamaduni wa chama chetu na anakiona kuwa hakina uwezo wa kuongoza dola anafanya nini kwenye chama ambacho anona kuwa hakiwezi kuongoza dola? Kwanini atafute urais kwenye chama ambacho anaona hakiwezi kuongoza dola ? anawatania watanzania? Ni heri akaenda kwenye hicho ambacho anaamini kuwa kinaweza kuongoza dola , kwani lengo la chama chochote kile ni kuchukua dola na sio vinginevyo.
5. Mwisho tunapenda kuwahakikishia vijana wote wa Tanzania na wananchi kwa ujumla kuwa tayari CHADEMA kimejiandaa kikamilifu kuongoza dola na wasiwe na hofu na maneno yaliyotamkwa na Mbunge huyu .
6. Natoa wito kwa Vijana wenzangu wote wa CHADEMA kuwa sasa tujiandae kikamilifu katika kukabiliana na mtu yeyote yule ambaye ataonekana kuwa kikwazo kwa chama chetu na wananchi kwa ujumla wake katika kuelekea kuchukua dola 2015 .
Nawatakia kila la kheri katika ujenzi wa chama na tuendeleze operesheni ya ‘Vua Gamba, Vaa Gwanda’ popote pale tulipo nchini.
Imetolewa leo Dar es Salaam, Mei 16, 2012
na;John Heche
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa.
RAIS WA ZANZIBAR AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI KATIKA TAASISI MBALIMBALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali M.
Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za
Serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na
Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee Dkt Shein kwa
mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 50 (4) cha katiba ya
Zanzibar ya mwaka 1984, Rais amemteuwa Mdungi Makame Mdungi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar.
Aidha Dkt. Shein kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 61
(2) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 amemteuwa Khamis Jabir Makame
kuwa Mkuu wa Wilaya Kaskazini B Unguja.Uteuzi huo unaanza leo tarehe
16 Mei 2012,

RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AMWALIKA RAIS JK MAREKANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete yuko njiani kwenda Washington, Marekani kuhudhuria Mkutano wa
Wakuu wa Nchi Tajiri Zaidi na Zenye Viwanda (Group of Eight – G-8) kwa
mwaliko wa Rais wa Marekani Mheshimiwa Barack Hussein Obama.
Rais Kikwete na ujumbe wake waliondoka nchini usiku wa jana,Jumanne,
Mei 15, 2012 kwenda Marekani kupitia Nairobi, Kenya na London,
Uingereza.
Rais Kikwete ni mmoja wa Marais wanne wa Afrika ambao Rais Obama
amewaalika kuhudhuria Mkutano wa G-8 ambao unafanyika Jumamosi kwenye
eneo la mapumziko ya marais wa Marekani, Camp David, katika Jimbo la
Maryland.
Hata hivyo, shughuli za kikao hicho zinaanza rasmi leo Mei 17 wakati Waziri
wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bibi Hillary Clinton atakapokutana na
viongozi wa nchi wataohudhuria mkutano wa mwaka huu wa G-8.
Mbali na Rais Kikwete, marais wengine wa Afrika walioalikwa na Rais
Obama kuhudhuria mkutano huo ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU)
Mheshimiwa Thomas Boni Yayi, Rais wa Ghana Mheshimiwa Atta John Mills
na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mheshimiwa Meles Zenawi.
Rais Kikwete amealikwa kushiriki katika mkutano wa mwaka huu wa G-8
ili kutoa uzoefu wake katika mapambano ya kuendeleza kilimo na kuleta
usalama wa chakula katika Tanzania na Afrika kwenye kikao ambacho
kitazungumzia “Hali ya Kilimo Duniani na Usalama wa Chakula” ambacho
Rais Obama atakuwa mwenyekiti wake na ambacho Rais Kikwete atazungumza
kwa dakika 10.
Rais Kikwete amealikwa kwa sababu ya uongozi wake katika masuala ya
maendeleo ya kilimo ambao ameuonyesha kwenye uanzishwaji wa program
mbali mbali hapa nchini na katika Afrika zikiwamo za ASDP
(Agricultural Sector Development Programme), Kilimo Kwanza na SAGCOT
(Ukanda wa Maendeleo ya Kilimo Kusini mwa Tanzania).
Rais Kikwete pia ni miongoni mwa viongozi wa Afrika walioko mbele
katika kuendeleza programu ya kilimo ya Grow Africa Partnership ambako
nchi saba za Afrika zinashirikiana na wadau wa kimataifa kuendeleza
kilimo katika Afrika.
Mkutano huo wa G-8 unafanyika wakati kuna habari za uwezekano wa
kutokea kwa upungufu wa chakula na hata kuzuka kwa baa la njaa katika
baadhi ya nchi za Afrika.
Wakati wa ziara hiyo ya siku tano, Rais Kikwete pia atakutana na
kufanya mazungumzo na maofisa wa Shirika la Millenium Challenge
Corporation (MCC), wakiongozwa na Mtendaji Mkuu wake, Bwana Daniel
Yohanes.
Tanzania ni miongoni mwa washirika wakuu wa MCC, ambacho ni chombo cha
jitihada za maendeleo cha Serikali ya Marekani na ambacho kwa sasa
kinatekeleza miradi mbali mbali ya miundombinu yenye thamani ya dola
za Marekani milioni 698 katika Tanzania.
Katika Marekani, Tanzania inaelezwa kama nchi mfano wa mafanikio
katika utekelezaji wa miradi ya MCC na Rais Kikwete anasifiwa kwa
utekelezaji wa miradi hiyo unaongozwa na uwazi na ufanisi wa kiwango
cha juu.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
16 Mei, 2012

Wednesday, May 16, 2012
TAARIFA TOKA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA
Napenda kuchukua fursa hii kama mtanzania kuwahabarisha WATANZANIA WOTE kuwa Shirika letu la Ndege la Taifa ATCL – limeleta ndege aina
ya boeing 737-500 yenye uwezo wa kubeba abiria 108 kwa mkupuo.
Safari zake zitaanza rasmi ijumaa tarehe 18 Mei 2012, kwa kwenda Mwanza
kupitia Kilimanjaro, na muda wa safari ni DAR-KILIMANJARO itaondoka

saa 1 asubuhi na kutarajiwa kufika Kilimanjaro saa moja na dk 55; kutoka
Kilimanjaro kwenda Mwanza saa 2 na dk 55 asbh na kutarajiwa kufika Mwanza
saa3 na dk 55 asubuhi hiyo hiyo, Kisha kuondoka Mwanza Saa 4 na dk 55 asbh
na kufika Dar saa 6 na dk 25.
Ratiba ni kama inavyooneshwa hapa chini ( hii ni ya tarehe 18 May tu na
ni inaugural flight) .
NAULI KWA SAFARI HIZI NI TSHS199,000/= KWA KWENDA NA KURUDI, NA KWA ONE
WAY NI TSHS139,000/=
Karibuni sana.
DAR-JRO: ETD 07:00 ETA 7:55
JRO-MWZ: ETD 08:55 ETA 9:55
MWZ-DAR: ETD 1055 ETA 12:25
Kisha ratiba inaendela rasmi siku inayofuata yaani Jumamosi nazo itakuwa
kama ifuatavyo
SATURDAY
DEP ARR
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ DAR 19:00 20:30
SUNDAY
DAR JRO 6:30 7:25
JRO MWZ 7:55 8:55
MWZ DAR 9:25 10:55
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ JRO 19:00 20:00
JRO MWZ 20:30 21:25
MONDAY
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ DAR 19:00 20:30
TUESDAY
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
HAKUNA NDEGE TUESDAY JIONI
WEDNESDAY
DAR JRO 6:30 7:25
JRO MWZ 7:55 8:55
MWZ DAR 9:25 10:55
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ JRO 19:00 20:00
JRO MWZ 20:30 21:25
THURSDAY
DAR MWANZA 6:30 8:00
MWZ DAR 8:30 10:00
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ DAR 19:00 20:30
FRIDAY
DAR JRO 6:30 7:25
JRO MWZ 7:55 8:55
MWZ DAR 9:25 10:55
JIONI
DAR MWZ 17:00 18:30
MWZ JRO 19:00 20:00
JRO MWZ 20:30 21:25
Fare: Tshs199,000 To & Fro
One way Tshs139,000
Karibuni Watanzania wenzangu tuijenge na kuiimarisha ATCL!
Regards,
Lily F ungamtama
ATCL

WAZALENDO FOOTBALLERS OF THE YEAR AWARDS 2012
KAMPUNI ya Wazalendo Bright Media kwa kushirikiana na Kampuni ya
Vennedrick, pamoja na Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania
(Tafca) wameandaa tuzo kwa wachezaji wa Kitanzania (Wazalendo pekee)
ambao waliofanya vizuri kuanzia Januari 1 hadi Desemba 31 mwaka 2011.
Tuzo hizi zinatarajiwa kutolewa Juni 30 mwaka huu jijini Dar es
Salaam, ambapo washindi watapatikana kwa njia ya kura zitakazopigwa na
Makocha 12 na manahodha 12 wa timu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu
uliomalizika hivi karibuni. Mfumo unaotumiwa na Fifa kumchagua
wamasoka bora wa mwaka.
Sifa za jumla kwa wachezaji
1. Ni lazima mchezaji awe mzawa wa Tanzania
2. Awe anachezea timu ya taifa ambazo ni Taifa Stars, U-17, U-20,
U-23 au Twiga Stars kwa Wanawake.
3. Awe anacheza ligi ya Tanzania Bara.
4. Nidhamu ndani na nje ya uwanja.
5. Asiwe na kashfa yoyote ya utumiaji wa madawa yaliyopigwa marufuku
michezo.
Pia tuzo hizi zinatawagusa wadau mbalimbali waliochangia maendeleo ya
soka la Tanzania kwa namna moja ama nyinyine ambao ni lazima wawe
Watanzania.
Wadau hawa ni pamoja na wachezaji wa zamani, waanzilishi wa soka la
wanawake pamoja na maendeleo yake (itawahusu wanawake pakee) pamoja na
viongozi wa kiserikali ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa ni
chachu ya soka la Tanzania.
Dhumuni la kuanzishwa kwa tuzo za Wazalendo, ni kuongeza ushindani
kwenye timu ya taifa, Ligi Kuu, pamoja na kukuza vipaji vya nyota
wanaochipukia.
Ziwadi zitakazotolewa siku hiyo ni pamoja na tuzo, fedha taslim, vyeti
na medani kwa washindi.
Tayari kamati imeshafanya mchujo wa kwanza ambapo majina 35
yamepitishwa ambapo kura za makocha na manahodha wa timu za ligi kuu
wataamua.
Pamoja na taarifa hii tumeambatanisha na majina yaliyopitishwa na
kamati ya maandalizi ambayo yatapigiwa kura. Tunataendelea kutoa
taarifa kadri siku zinavyokwenda.
Imetolewa na Ahadi Kakore
Mratibu (0784 890 387)
WAZALENDO BEST FOOTBOLLERS OF THE YEAR 2011 AWARDS (NOMINEES)
GROUP A: BEST GOAKEPER OF THE YEAR
1. Mwandini Ally- Azam FC
2. Juma Kaseja- Simba
3. Shaaban Kado- Yanga
GROUP B: BEST DEFFENDER OF THE YEAR
1. Shadrack Nsajigwa- Yanga
2. Nadir Haroub ‘Cannavaro’- Yanga
3. Agrey Mouris- Azam FC
4. Juma Nyosso- Simba
GROUP C: BEST MIDDLEFIELD OF THEE YEAR.
1.Shaban Nditi -Mtibwa
2.Nardin Bakar- Yanga
3.Mwinyi Kazimoto-Simba
GROUP D: BEST STICKER OF THE YEAR.
1. John Bocco - Azam FC
2. Mrisho Ngassa - Azam FC
3. Hussein Javu - Mtibwa
GROUP E: UPCOMING OF THE YEAR.
1. Shomari Kapombe - Simba
2. Issa Rashid - Mtibwa
3. Frank Sekule – Simba
4. Saimon Happygold-Villa
GROUP F: BEST PLAYER OF THE YEAR 2011.
1. Nadir Haroub ‘Cannavaro’- Yanga
2. Juma Kaseja-Simba
3. Nurdin Bakar - Yanga
4. Mrisho Ngassa- Azam FC
5. Shaban Nditi-Mtibwa
Group G: Women Best Player of the Year 2011
Sophia Mwasikili
a. Ester Chabruma
b. Asha Rashid
c. Fatma Ally
d. Mwapewa Mtumwa
e. Mwanahamisi Omar
Group H: Honor awards
Women soccer Promotions
a. Stephania Kabumba
b. Fatma Mukanda
c. Asha Tamba
d. Dr. Magreth Mtaki
Group I: Honor awards
Ex-National Team Players
Majina yatatolewa siku zijazo.
Group J: Honor awards
Benjamin William Mkapa

Subscribe to:
Posts (Atom)